PUNCH TANZANIA: AUDIO | Roy - Ndoto (Morogoro) | Download

Responsive Ad Slot

Latest

latest

AUDIO | Roy - Ndoto (Morogoro) | Download

/ by Admin
Wimbo wa Maombolezo kuhusiana na ajali ya Mlipuko wa moto uliotokea baada ya kudondoka kwa gari la mafuta maeneo ya Msamvu, Morogoro na kusababisha vifo vya raia wengi. Tunaungana na watanzania wote kuomboleza na kuwaombea majeruhi kupona kwa haraka. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.

Wimbo umeimbwa na ROY huku ukitayarishwa na Prod Steve Maker  | Stopper RecordsDon't Miss
© 2019 Copyright
PUNCHTANZANIA